1861; Waonee Huruma…

By | February 4, 2020

Kuna watu ambao wanajaribu kufanya mambo mabaya kwako na unaweza kuwaona ni watu wabaya na wakatili sana. Lakini watu hao unapaswa kuwaonea huruma kuliko unavyowaona wabaya. Mtu yeyote anayetaka kukuumiza, jua ya kwamba na yeye anaumizwa. Mtu yeyote anayetaka kukutesa, jua kwamba pale alipo naye anateseka. Mtu ambaye anataka kuyavuruga (more…)

1860; Ni Mpaka Wewe Uwape Ruhusa…

By | February 3, 2020

Hakuna mtu yeyote anayeweza kufanya chochote kwako mpaka wewe utakapompa ruhusa ya kufanya hivyo. Hakuna anayeweza kukuumiza wewe, mpaka wewe umpe ruhusa kwa kuchagua kuumia. Mtu anaweza kufanya atakacho, kwa lengo la kukuumiza, lakini hawezi kukuumiza kama wewe hujampa ruhusa. Unapokubali kuumia, unakuwa umempa mtu ruhusa ya kukuumiza. Hata wale (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FURAHA YAKO NI FURAHA YA WENGINE…

By | February 3, 2020

“A person becomes happy to the same extent to which he or she gives happiness to other people.” —JEREMY BENTHAM Ni siku nyingine mpya kwetu, Tumepata nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo bora sana. Tuweke vipaumbele sahihi leo na kuvifanyia kazi. Utakuwa (more…)

1859; Ushindi Hewa…

By | February 2, 2020

Kuna aina za mashindano ambapo kushinda ni kushindwa. Yaani unashindana au kubishana na wewe na kufikia mwisho wewe unaibuka mshindi, lakini kwa uhalisia unakuwa umepoteza. Yule unayekuwa umemshinda, inakuwa ni kwa hoja, lakini bado anaamini alichokuwa anaamini, na ushindi wako unamfanya azidi kutofautiana na wewe. Japokuwa hatakuwa na hoja za (more…)