1858; Je Ni Muhimu? Je Inaweza Kusubiri?
Maswali hayo mawili yatakuokoa na mambo mengi sana, kama utachukua muda wa kujiuliza kabla hujafanya maamuzi yoyote, hasa ya manunuzi. Hebu fikiria, umetoka nyumbani kwenda kwenye shughuli zako, hukupanga kununua chochote, lakini unarudi nyumbani una furushi kubwa la vitu ulivyonunua. Ukiulizwa kwa nini umenunua, utajibu ulikutana na ofa ambayo kama (more…)
