1763; Hakuna Kizuri Kinachodumu Milele…

By | October 29, 2019

Kuna kitabu kimoja kifupi na kizuri sana ambacho kinaelezea tabia yetu sisi binadamu kuyapinga mafanikio. Kitabu hicho kinaitwa WHO MOVED MY CHEESE, ambacho kinaeleza hadithi ya panya wanne ambao walizoea kupata jibini kwenye eneo walilozoea, siku moja wakaenda eneo hilo na kukuta hakuna tena jibini. Kuna ambao walisonga mbele na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TABIA YAKO NDIYO HATIMA YAKO…

By | October 29, 2019

“Each person acquires their own character, but their official roles are designated by chance. You should invite some to your table because they are deserving, others because they may come to deserve it.” —SENECA, MORAL LETTERS, 47.15b Kupata nafasi hii nyingine ya kuiona siku ya leo ni jambo la kushukuru (more…)

1762; Watu Wananunua Matumaini…

By | October 28, 2019

Unafikiri ni kitu gani kinapelekea mtu kucheza bahati nasibu ya shilingi mia tano au elfu moja? Wachezaji wengi wa bahati nasibu hizi wanajua kabisa kwamba hawawezi kushinda, kwa sababu washindi ni wachache na wachezaji ni wengi. Lakini kinachowasukuma kucheza bahati nasibu hizi ni yale matumaini wanayokuwa nayo kwamba huenda nao (more…)

1761; Kabla Hujafikiria Kuibadili Dunia…

By | October 27, 2019

‘Nataka kuibadili dunia…’ Ni kauli maarufu kwa wengi, huwa tunajiwekea lengo kubwa kiasi hicho kupitia chochote tunachofanya, na kufikiria tunaweza kuwa na mchango mkubwa hapa duniani kama tutaweza kuibadili. Lakini hilo ni lengo ambalo siyo tu hatuwezi kulifikia, bali pia tunajidanganya, kwa sababu ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNACHOWAFUNDISHA WENGINE, KITARUDI KWAKO…

By | October 27, 2019

“Crimes often return to their teacher.” —SENECA, THYESTES, 311 Kupata nafasi hii nzuri ya kuiona siku ya leo ni bahati ya kipekee sana kwetu. Siyo kwa sababu tunastahili sana au kwa sababu ya juhudi zetu, bali ni bahati tu. Kazi yetu hapa duniani bado haijakamilika, hivyo leo tuna nafasi nyingine (more…)

1760; Njia Nzuri Ya Kufanya Vitu Kuwa Bora…

By | October 26, 2019

Njia nzuri ya kufanya vitu kuwa bora ni kufanya vitu bora. Huwa tunaona wengine wakitoa matokeo mazuri na kujiambia wamewezaje kufanya vile. Ambacho tunashindwa kuona ni kwamba watu hao wanatoa matokeo bora kwa sababu wanafanya vitu bora. Unaona wengine wanatoa matokeo mazuri kwenye kazi yao na kujiuliza wamewezaje hivyo, jibu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; VIPANDE VITATU VYA FALSAFA..

By | October 26, 2019

“The best and the greatest number of authors have asserted that philosophy consists of three parts: the moral, the natural, and the rational. The first puts the soul in order. The second thoroughly examines the natural order of things. The third inquires into the proper meaning of words, and their (more…)

1759; Kama Kila Mtu Anakutegemea Wewe Kuna Tatizo…

By | October 25, 2019

Kila ninapokutana na watu ambao wanasema majukumu yao ya kazi ni mengi na hivyo wanakosa muda wa kufanya vitu vingine muhimu kwenye maisha yao, huwa kuna kitu kimoja kinakuwa nyuma yao, wanakuwa wanategemewa zaidi na wengine. Watu wengi huwa wanatumia muda wao wa kazi kujibu na kusaidia wengine kukamilisha majukumu (more…)