1603; Dunia Ni Kubwa Kuliko Hofu Zako…
Katika viumbe hai wote ambao tuko hapa duniani, sisi binadamu ndiyo tumepewa uwezo mkubwa wa kufikiri, kupanga na kufanya maamuzi. Wanyama wengine wote wanaendesha maisha yao kwa msukumo wa kupata wanachotaka au kuepuka hatari. Simba akiwa na njaa atawinda swala, na hataacha kuwinda mpaka apate chakula. Swala akimwona simba atakimbia (more…)
