1608; Mategemeo Chanya Na Maandalizi Ya Matokeo Hasi…
Kufikiri chanya kumekuwa kunatumika vibaya na wengi. Wengi wanaamini kwamba ili ufanikiwe unachohitaji ni kufikiri chanya muda wote, kuwa na mategemeo chanya kwenye maisha hata pale unapopata matokeo ambayo siyo mazuri. Ni kweli kufikiri chanya na kuwa na mategemeo chanya kwenye maisha kunasaidia kuliko kuwa na fikra hasi na mategemeo (more…)
