1588; Mipango Ni Mwongozo Na Siyo Msaafu….

By | May 7, 2019

Ili kufika kule unakotaka kufika kwenye maisha yako, unahitaji kuwa na mipango ya kukufikisha pale. Mipango ni muhimu sana, kwa sababu hakuna chochote kinachotokea kama muujiza. Lazima kifanyiwe kazi kwa mpango unaoeleweka. Lakini mipango imekuwa kikwazo kwa wengi kupata kile wanachotaka. Kwa sababu wanapoweka mipango, wanataka kila kitu kiende kama (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JINSI YA KUWA NA SIKU BORA…

By | May 7, 2019

“God laid down this law, saying: if you want some good, get it from yourself.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 1.29.4 Ni siku nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

1587; Mchezo Wa Maisha Ni Kugeuza Kila Kitu Kuwa Zawadi…

By | May 6, 2019

Unaweza kuyaishi maisha yako kwa mitazamo miwili, Moja kila kitu ni kibaya kwako, na hapa kila kinachotokea utaona ubaya ndani yake. Ukifukuzwa kazi unaona kuna wabaya wako wamefanya ufukuzwe. Mahusiano uliyonayo yakivunjika unaona upande wa pili ulikuwa na matatizo. Ukianzisha biashara na ikafa unaona uchumi ni mgumu au huna bahati (more…)

1585; Ufunguo Na Kufuli…

By | May 4, 2019

Inapokuja kwenye mawazo ya kuanza biashara au ujasiriamali, watu hukabili hilo kwa mitazamo miwili, ambayo inaendana na ufunguo na kufuli. Wapo ambao wanaanza kutengeneza ufunguo, kisha wanazunguka kutafuta kufuli ambalo litakubali kufunguliwa na ufunguo huo. Hili ni zoezi gumu sana, kwa sababu hata ufunguo uwe mzuri kiasi gani, itakuchukua muda (more…)

1584; Usiyafanye Mambo Kuwa Magumu Zaidi Ya Uhalisia Wake…

By | May 3, 2019

Kinachowazuia watu wengi kufanikiwa kwenye maisha ni kuyafanya mambo rahisi kuwa magumu. Kwa kuwa mafanikio yanaionekana kuwa magumu kufikia, basi wengi huamini hata njia za kufika kwenye mafanikio zinapaswa kuwa ngumu. Na hapo ndipo watu huyafanya mambo rahisi kuwa magumu, na hivyo kujiwekea vikwazo zaidi kwenye mafanikio yao. Mwandishi mmoja (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ONESHA VITENDO NA SIYO MANENO…

By | May 3, 2019

“Those who receive the bare theories immediately want to spew them, as an upset stomach does its food. First digest your theories and you won’t throw them up. Otherwise they will be raw, spoiled, and not nourishing. After you’ve digested them, show us the changes in your reasoned choices, just (more…)