#TAFAKARI YA LEO; KUWA TAYARI KUBADILI MAONI YAKO….

By | April 7, 2019

“There are two things that must be rooted out in human beings—arrogant opinion and mistrust. Arrogant opinion expects that there is nothing further needed, and mistrust assumes that under the torrent of circumstance there can be no happiness.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 3.14.8 Ni siku nyingine mpya na ya kipekee sana kwetu. (more…)

1557; Kinachopelekea Uone Muda Haukutoshi…

By | April 6, 2019

Kuna masaa 24 pekee kwenye siku, imekuwa hivyo tangu dunia imeanza na itaenda hivyo miaka yote ambayo dunia itakuwepo. Kila mtu ana masaa hayo 24, hakuna anayeweza kupata hata sekunde moja ya ziada. Lakini karibu kila mtu analalamika kwamba muda haumtoshi. Hii ni sababu ambayo wengi wanaitumia kama kikwazo kwao (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JIANDAE KWA USIYOTEGEMEA…

By | April 6, 2019

“When you first rise in the morning tell yourself: I will encounter busybodies, ingrates, egomaniacs, liars, the jealous and cranks. They are all stricken with these afflictions because they don’t know the difference between good and evil. Because I have understood the beauty of good and the ugliness of evil, (more…)

1556; Jifunze Kudhibiti Vitu Hivi Viwili Na Utaweza Kuyadhibiti Maisha Yako…

By | April 5, 2019

Kuna nguvu kubwa mbili zinazohusika kwenye kila hatua ambayo tunachukua kwenye maisha yetu. Nguvu hizo ni maumivu na uchoshi. Tunapokuwa hatuna kitu fulani tunachokitaka sana, huwa tunapata maumivu. Maumivu haya yanatusukuma kupata kile ambacho tunakitaka, na kadiri maumivu yanavyokuwa makubwa, ndivyo tunavyosukumwa kupata kitu hicho. Tunapopata kile tunachotaka, huwa tunakizoea (more…)

1555; Kama Unawahi, Tayari Umeshachelewa…

By | April 4, 2019

Kukosa maandalizi ni kikwazo kikubwa sana kwa wengi kufanikiwa. Wengi huwa wanapanga kufanya kitu, lakini hawana maandalizi ya kutosha, hivyo wanakwama kwa sababu kile wanachohitaji ili kuendelea hakipatikani. Ndiyo maana leo nakuambia kama unawahi mahali, tayari umeshachelewa. Yaani kama unaharakisha kufika mahali fulani, basi jua umeshachelewa. Ungepaswa kuondoka mapema kiasi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAFANIKIO YASIKUBADILISHE…

By | April 4, 2019

“Make sure you’re not made ‘Emperor,’ avoid that imperial stain. It can happen to you, so keep yourself simple, good, pure, saintly, plain, a friend of justice, god-fearing, gracious, affectionate, and strong for your proper work. Fight to remain the person that philosophy wished to make you. Revere the gods, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUDANGANYIKA NA KUGAWANYIKA..

By | April 3, 2019

“Circumstances are what deceive us—you must be discerning in them. We embrace evil before good. We desire the opposite of what we once desired. Our prayers are at war with our prayers, our plans with our plans.” —SENECA, MORAL LETTERS, 45.6 Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya (more…)