1563; Labda Ni Kweli…

By | April 12, 2019

Kwenye maisha huwa tunawadanganya wengine, tukijua kabisa kwamba tunadanganya, lakini inafika hatua tunajidanganya na sisi wenyewe. Kuna kichekesho kimoja ambapo mtu alikwenda kisimani kuchota maji, akakuta kuna foleni ya watu wengi, na kuona atachelewa kuchota maji. Alikuwa amebeba embe anakula. Akajiuliza anawezaje kuwashawishi watu hao ili achote maji haraka. Baada (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KATAA ZAWADI ZINAZOTAMANISHA…

By | April 12, 2019

“Atreus: Who would reject the flood of fortune’s gifts? Thyestes: Anyone who has experienced how easily they flow back.” —SENECA, THYESTES, 536 Ni siku nyingine mpya, siku nzuri na ya kipekee sana kwetu. Ni nafasi bora kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu (more…)

1562; Hebu Tubadili Nguvu Ya Mvutano Wa Dunia…

By | April 11, 2019

Ukirusha kitu juu, kitarudi chini. Ukipanda juu ya jengo refu au mti mrefu na ukajiachia, utadondoka chini, na huenda ukaumia sana. Kinachofanya vitu vianguke chini ni nguvu ya mvutano ambayo ipo ndani ya dunia. Nguvu hii inatuzuia sisi binadamu tusiweze kupaa na hata kufanya vitu vikae karibu na dunia badala (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA UNATAKA KUJIFUNZA, KUWA MNYENYEKEVU…

By | April 11, 2019

“Throw out your conceited opinions, for it is impossible for a person to begin to learn what he thinks he already knows.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 2.17.1 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora (more…)

1561; Sababu Kubwa Inayopelekea Wenye Fedha Kufilisika…

By | April 10, 2019

Kwa watu ambao hawana fedha nyingi, ugumu wa kupata fedha ni sehemu ya maisha yao, mara nyingi wanaishi kwenye hali ya kukosa fedha na hata kuwa wamefilisika. Hilo ni rahisi kueleweka na kila mtu. Kitu ambacho siyo rahisi kueleweka ni pale mtu ambaye ameweza kujijengea utajiri mkubwa, mtu ambaye ana (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUUMIZA NI HUKUMU UNAZOTOA…

By | April 10, 2019

“It isn’t events themselves that disturb people, but only their judgments about them.” —EPICTETUS, ENCHIRIDION, 5 Ni jambo la kushukuru sana kwa kila mtu aliyeiona siku hii nyingine mpya kwetu. Siyo kwa nguvu wala akili zetu tumepata nafasi hii, bali kwa bahati ya kipekee mno. Tungeweza kukubwa na mabaya yaliyowakumba (more…)

1560; Ijue Vizuri Kazi Yako, Na Mengine Yatajijua Yenyewe…

By | April 9, 2019

Hakuna kipindi ambacho watu wamevurugwa kama zama tunazoishi sasa. Hizi ni zama pekee ambazo watu wanafikiri mafanikio yatatokana na mwonekano na siyo kutokana na kazi. Hivyo watu wamekuwa wanaweka nguvu kubwa kwenye mwonekano, kuhakikisha wanaonekana na wengi. Mitandao ya kijamii imechochea sana hili, sasa hivi watu wanapima mafanikio yao kwa (more…)

1559; Haki Iliyopitiliza Ni Udhalimu…

By | April 8, 2019

Huwa tunaweka sheria mbalimbali ili kutuongoza kwenye maisha yetu, lakini siyo wakati wote sheria zinaweza kuleta matokeo mazuri. Ndiyo maana hata kwenye tawala za nchi, licha ya sheria kuwa wazi na zinajulikana, bado tunahitaji kuwa na mahakama, ili kuweza kutumia busara na hekima kufikia maamuzi ambayo ni bora kwa kila (more…)