1468; Kinachokupa Msongo Wa Mawazo Siyo Mambo Mengi Uliyonayo Ya Kufanya…
Tunapokuwa na mambo mengi ya kufanya huku muda wetu ukiwa mfupi, huwa tunapata msongo wa mawazo. Huwa tunafikiri kinachotupa msongo ni yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, lakini hilo siyo sahihi. Kinachotupa msongo siyo yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, bali namna tunavyofikiri kuhusu mambo hayo. Kinachotupa msongo wa mawazo (more…)
