BIASHARA LEO; Swali Moja Muhimu Kumuuliza Mteja Pale Anapokuambia Bei Yako Ni Kubwa Sana…

By | August 3, 2018

Usemi unaopaswa kuukumbuka kwenye biashara yako kila siku ni huu, mara zote mteja yupo sahihi. Hata kama kwa upande wako anakosea, jua kwamba kwa upande wake na kwa mtazamo wake, mteja mara zote yupo sahihi. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanafanya kosa sana kujaribu kuwaonesha wateja hawapo sahihi, kinachotokea wateja wanajisikia vibaya (more…)

UKURASA WA 1311; Ni Lazima Uwapende Watu…

By | August 3, 2018

Mafanikio yako kwenye maisha yanakwenda kwa kiwango unavyowapenda wengine. Kadiri unavyowapenda wengi zaidi, ndivyo unavyoweza kufanikiwa zaidi. Kwa saba bu chochote unachotaka kwenye maisha yako, utakipata kutoka kwa wengine. Na unaweza kupata chochote unachotaka kwenye maisha yako, kama utawasaidia wengi zaidi kupata kile wanachotaka. Ni lazima uwapende sana watu kiasi (more…)

BIASHARA LEO; Hamasa Yako Ni Muhimu Kuliko Unachouza…

By | August 2, 2018

Kosa moja ambalo wafanyabiashara wengi wanafanya pale wanapochagua biashara ya kufanya, ni kuangalia wafanyabiashara waliofanikiwa kwenye biashara fulani na kufikiri hiyo ndiyo biashara inayolipa. Lakini wanapoingia kwenye biashara hiyo, wanagundua siyo rahisi kama walivyoona kwa nje. Wanakutana na changamoto nyingi na hata wateja hawawi rahisi kuuziwa kama walivyofikiri. Rafiki, ukiona (more…)

UKURASA WA 1310; Maisha Yasiyo Na Madhara…

By | August 2, 2018

Ukweli wa maisha ni kwamba, kama unataka kuishi maisha ya mafanikio, basi lazima maisha yako yawe na madhara kwa wengine. Lazima namna unavyoishi maisha yako kuibue hisia tofauti kwa watu tofauti. Lazima baadhi waone kama umechanganyikiwa na hujui nini unafanya. Wengine waone kwamba unajisumbua tu, hakuna mbali unaweza kwenda. Na (more…)

BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kujenga Himaya Yako Kibiashara…

By | August 1, 2018

Ili biashara ifanikiwe sana, lazima ijijenge kama himaya, imiliki sehemu kubwa ya soko, iwe na wateja wanaoitegemea biashara hiyo, wanaoiamini na ambao wapo tayari kuwaalika wengine kuja kwenye biashara hiyo. Hivyo badala ya kukazana kupata faida ya muda mfupi kwenye biashara yako, kazana kujenga himaya yako kibiashara, himaya ambayo itakuwa (more…)