πŸ’₯#TAFAKARI YA LEO; HAPO ULIPO SASA…

By | August 12, 2017

MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa sana siku ya leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu HAPO ULIPO (more…)

UKURASA WA 955; Zawadi Kubwa Unayoweza Kumpa Mtu Kwenye Zama Hizi…

By | August 12, 2017

Tunaishi kwenye kipindi ambacho changamoto zipo nyingi na zinazidi kuwa nyingi kadiri siku zinavyokwenda. Usumbufu ni mwingi na kelele ni nyingi kiasi kwamba kila mtu anakuwa kama amevurugwa, asijue afanye lipi na aache lipi. Au amsikilize nani na kumpuuza nani. Hili limepelekea zawadi kubwa sana ambayo unaweza kumpa mtu zama (more…)

πŸ’₯#TAFAKARI YA LEO; KAZANA KUIVUKA SIKU YA TATU…

By | August 11, 2017

MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUIVUKA SIKU YA (more…)

UKURASA WA 954; Ubobezi Huu Hautakusaidia Lolote….

By | August 11, 2017

Huwa nashangaa jinsi gani watu wanajua namna gani wengine wanapaswa kuendesha maisha yao, lakini hawana hata chembe ya wazo la namna gani maisha yao yanapaswa kwenda. Karibu kila mtu ni mbobezi kwenye maisha ya wengine, kwa sababu tumekuza na kuishi kwenye jamii ambazo zinataka kila mtu awe sawa na wengine. (more…)

UKURASA WA 953; Unachokichukia, Unakipa Nguvu Ya Kuendelea Kukusumbua…

By | August 10, 2017

Moja ya kitu kinachowarudisha watu wengi nyuma ni chuki. Chuki kwa watu au vitu ni jambo linalowarudisha wengiΒ  nyuma kwa sababu ukikichukia kitu unakuwa umefungwa nacho. Kwa mfano tuseme unamchukia mtu fulani ambaye alikufanyia mambo mabaya, hii ina maana kwamba, ili chuki yako ifanye kazi, lazima kila wakati uwe unamkumbuka (more…)

πŸ’₯#TAFAKARI YA LEO; LEO KAMA JANA…

By | August 9, 2017

MAKIRITA AMANI: Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine nzuri kwetu, nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambao utatuwezesha kuwa na maisha bora na yenye mafanikio. Asubuhi ya leo tutafakari LEO KAMA (more…)

UKURASA WA 952; Jifunze Kwa Wengine, Lakini Usiige Maisha Yao…

By | August 9, 2017

Njia bora kabisa ya kujifunza kuhusu mafanikio, ni kupitia wale ambao wameshafanikiwa. Kabla hujaanza safari yoyote, ni vyema ukaangalia nani ambaye amefanikiwa kwenye safari hiyo na kujifunza mambo muhimu kutoka kwake. Kupitia yeye utajua njia ipi nzuri kufuata na makosa yapi ya kuepuka kwenye safari hiyo. Kupitia wale waliofanikiwa, utaweza (more…)

πŸ’₯#TAFAKARI YA LEO; DUNIA INATAKA UWE KAWAIDA…

By | August 8, 2017

MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu DUNIA KUTAKA WEWE UWE KAWAIDA… Hivi umewahi kujiuliza kwa (more…)