UKURASA WA 951; Kwa Nini Unakazana Kubadili Matunda?
Iwapo kuna mti umeota shambani kwako, lakini unatoa matunda ambayo wewe huyapendi, unafikiri ukichuma matunda yote na kuyaharibu, msimu ujao utatoa matunda gani? Bila shaka ni yale yale. Vipi kama ukikata matawi yote yanayotoa matunda, ukasubiri yatoke matawi mapya, na kuanza kutoa matunda, yatatoka matunda gani? Bila ya shaka yoyote (more…)
