UKURASA WA 946; Njia Bora Ya Kuzishinda Mashine Na Teknolojia Mpya…
Dunia imekuwa inapitia mapinduzi makubwa kila baada ya kipindi fulani. Palikuwepo na zama za mawe, zikaja zama za chuma, mapinduzi ya viwanda, zama za taarifa na sasa tunaingia zama za watu mashine. Huenda hujawahi kusikia hilo nililotaja mwanzo, na ni kwa sababu ni zama changa kabisa. Sasa hivi juhudi kubwa (more…)
