UKURASA WA 805; Vipi Kama Ukipunguza Nusu..?
Ipo sheria ya ufanisi ambayo inaitwa sheria ya Pareto au Pareto Principle. Jina jingine la sheria hii ni 80/20. Sheria hii inasema kwamba asilimia 80 ya matokeo inasababishwa na asilimia 20 ya juhudi unazoweka. Yaani kama kuna vitu kumi unavyofanya, vitu viwili vinaleta matokeo makubwa kuliko vile vitu vingine nane (more…)
