UKURASA WA 750; Tengeneza Uhalisia Unaoutaka Wewe…
Kila mmoja wetu ana uhalisia wake wa maisha ambao anauishi. Kuna mambo unayafanya au kutoyafanya kwa sababu tu ya uhalisia wako, kwa sababu ya unavyochukulia maisha yako. Uhalisia wako unaweza kuwa mzuri au mbaya kwako. Kwa sehemu kubwa, uhalisia ulionao hujautengeneza wewe mwenyewe, bali umepewa kwenye jamii uliyokulia, kutoka kwa (more…)
