UKURASA WA 709; Usifanye Kabisa Biashara Hii, Ni Kupoteza Muda Wako…
Rafiki, sipendi kukuambia ni vitu gani usifanye, kwa sababu hiyo ni hasi, badala yake napenda kukuambia ni vitu gani ufanye kwa sababu unakuwa chanya. Lakini kuna wakati nashindwa kwenda na hilo kwa sababu naona wengi wakipotea kwa kukosa maarifa ya msingi kabisa. Ndiyo maana leo nimechagua kukuambia kitu gani usifanye. (more…)
