UKURASA WA 677; Usafi Wa Akili Na Mawazo.
Je unaweza kula chakula kizuri ambacho ndani yake kuna mchanga? Je ukiambiwa uchague dhahabu ambayo ni safi kwa asilimia 100 na dhahabu ambayo ni safi kwa asilimia 50, utachagua dhahabu ipi? Linapokuja swala la chakula au urembo, tunahakikisha tunapata kilicho safi kabisa. Usafi ni kipaumbele chetu cha kwanza kuhakikisha tunapata (more…)
