UKURASA WA 347; Usikubali Hili Moja Liingie…
Hakuna mtu ambaye anaamka asubuhi na mara moja tu akawa na mawazo ya kukata tamaa, na kuona mbele hakuwezekani tena. Hiki sio kitu kinachokuja ghafla kama ajali, bali mtu anakitengeneza mwenyewe. Na huwa kinaanza na wazo moja hasi, na kwa sababu mawazo hasi yanavutia mawazo mengine hasi, basi unakuja msururu (more…)
