Chochote Unachotaka Anza Kukitoa Na Utapokea Zaidi Na Zaidi.
(more…)
(more…)
Kama ingekuwa rahisi, basi hakuna ambaye asingetaka. Siku moja mtu tapeli aliulizwa ni mtu gani rahisi kumtapeli? Bila ya kusita alijibu kwamba mtu rahisi kumtapeli ni mtu ambaye sio mwaminifu. Mtu yeyote ambaye anaamini kuna njia rahisi ya kupata chochote anachotaka ndio huwa anaishia kutapeliwa. Kwa mfano mtu anaambiwa leta (more…)
Sababu namba moja kwa nini watu wengi hawafanikiwi! Hawapo tayari. Je wewe upo tayari? Je upo tayari kufanya tofauti na wafanyakazi wenzako wote wanavyofanya kazi zao? Je upo tayari kuendesha biashara yako kwa utofauti na vile wafanyabiashara wengine wanavyoendesha? Je upo tayari kwenda hatua ya ziada na kumridhisha mteja wako, (more…)
(more…)
(more…)
Inapokuja kwenye tabia halisi za binadamu huwa napenda kuweka unafiki pembeni. Ni kawaida yangu kuweka unafiki pembeni kwenye mambo yote ya kimaisha, wanafiki hawafanikiwi, hivyo na wewe usijiingize kwenye unafiki. Sawa, sasa tabia ya asili ya binadamu ni ubinafsi, na kupenda kupata zaidi ya wengine. Unahitaji kujitambua kwa kiasi cha (more…)
Ngoja niende moja kwa moja, kama unataka kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako, basi achana na demokrasia. Ukiendekeza demokrasia na akili yako mwenyewe nakuhakikishia hutafika mbali. Unajua kwa nini? Kwa sababu ukiipa akili yako nafasi ya kujieleza tu, umekwisha, utaisikiliza na mwishowe hutofanya. Unahitaji kuwa dikteta wa akili yako ndio (more…)
Mara nyingi wafanyabiashara huwa tunakuwa na mipango mizuri sana ya mambo yanapokwenda vizuri. Na mipango yetu hii tumeiweka tukiamini kwamba mambo yatakwenda vizuri wakati wote. Lakini haya ni maisha, na kama ilivyo sheria ya maisha, hakuna kitu kilichonyooka, hata bara bara nzuri bado ina kona. Hivyo kuna wakati kwenye biashara (more…)
Umekuwa unatabiri mambo mengi sana kuhusu maisha yako, lakini je ni mambo mangapi uliyotabiri yametokea? Ni mambo mangapi ambayo ulikuwa unayahofia, yanakunyima usingizi yametokea kweli? Nafikiri ni machache sana, kama hata yapo. Ukweli ni kwamba wewe sio mtabiri mzuri, na wala hutakuwa mtabiri mzuri kadiri siku zinavyokwenda. Umekuwa ukijitabiria kwamba (more…)
(more…)