Unafikiri huwezi? Acha kujidanganya…
(more…)
(more…)
Makirita kuna tatizo gani tena? Mbona mimi sijajiua? Sawa sawa, hujajiua, ila subiri kidogo tuone kama utetezi wako ni wa kweli au la. Kabla hatujaendelea kwanza ulishasoma makala HIVI NDIVYO UNAVYOKUFA NA MIAKA 35 NA KUZIKWA NA MIAKA 65? Kama bado bonyeza hayo maandishi uisome. Halafu kuna nyingine tena inaitwa (more…)
(more…)
Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo mazingira ya kuendesha biashara yanavyozidi kuwa mazuri na rahisi. Miaka kumi iliyopita ili upate mkopo wa biashara ingekuchukua muda mrefu sana na kuupata tu unashukuru maana sio wote waliokuwa wanaomba walipata. Lakini sasa hivi kama una vigezo unaweza kupata mkopo ndani ya siku moja. Sasa (more…)
(more…)
Kuna neno zuri sana na lenye manufaa tunaloweza kulitumia kwenye maisha yetu ya kila siku na likatuwezesha kufikia mafanikio makubwa. Neno hilo linatuokolea muda wetu, linatunza fedha zetu, linatuweka karibu na wale tunaowapenda na linatuma nafasi ya kukaa na sisi wenyewe kwa muda mrefu. Neno hili linatuwezesha sisi kupata muda (more…)
Kuna watu huwa wanasema eti maisha hayana fomula. Napenda sana ninapokutana na watu hawa, maana huwa nawauliza wanaelewaje hiyo kauli kwamba maisha hayana fomula? Nilichokuja kugundua wengi wanasema huo msemo kwa sababu wamesikia wengine wanasema. Na wengi pia wanafikiria kwamba maana ya kwamba maisha hayana fomula ni mtu anaweza kufanya (more…)
(more…)
Biashara unayofanya sasa, haitakuwa hivyo ilivyo kwa miaka kumi ijayo. Japo kipindi hiko kuna watu ambao bado watakuwa wanaifanya kama inavyofanywa sasa. Ila hawa ni wale ambao wanaendesha biashara za kawaida, zinazowaumiza vichwa na zisizo na faida kubwa. Wajanja wote kwenye biashara wajua mlango wa kutorokea na wakati wakutoroka. Bado (more…)
Najua unapenda kufanikiwa, najua juhudi zote unazoweka ni ili maisha yako yawe bora zaidi kuliko yalivyokuwa jana. Najua kwamba unasoma haka kwa sababu utaondoka na maarifa ambayo yatakuwezesha kuwa bora zaidi. Na ninakuahidi kwamba utaondoka na maarifa hayo. Kama hutayapata utaniwia radhi kwa kupoteza muda wako, ila nakuahidi haitachukua muda (more…)