TAFAKARI; Unachagua Upande Upi?

By | March 3, 2015

Maisha ni kuchagua, ndio unalijua hili. Kuna wakati ambao unachagua ukijua, na kuna wakati ambao hujui kma umechagua ila unakuwa umeshachaguliwa. Maisha yana pande pili katika kila jambo. Kuna kuishi, kuna kufa. Kuna kuwa na afya, kuna kuumwa. Kuna kupata faida, kuna kupata hasara. Na pia kuna kufanikiwa na kunakushindwa. (more…)

UKURASA WA 62; Sifia Kilicho Kizuri Na Utaona Vilivyo Vizuri Zaidi.

By | March 3, 2015

Kile unachosifia kinakua zaidi. Kile unachokazana kuangalia ndio utazidi kukiona zaidi na zaidi. Hii ina maana gani basi. Kama utaona maisha ni magumu, na kukazana kuangalia ugumu wa maisha yataenelea kuwa magumu kila siku. Kama utaona maisha ni mazuri ila yana changamoto za hapa na pale ambazo zinayafanya yawe mazuri (more…)

SIRI YA 38 YA MAFANIKIO; Upende Mchakato Wote.

By | March 3, 2015

Mafanikio hayatatokea mara moja. Kuna mchakato mrefu ambao utaupitia mpaka ufikie mafanikio. Unahitaji kufanya kazi kwa juhudi ja maarifa, kuwa mbunifu na hata kuwa mvumilivu. Kama utachkua hatua yoyote ya mchakato huu utashindwa kufikia mafanikio. Furahia kila hatua unayopitia ya kukufikisha kwenye mafanikio. Maana kila kitu ni muhimu sana kwako. (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Kuweka Kipaumbele Kwenye Maisha Yako.

By | March 3, 2015

Miaka zaidi ya elfu moja iliyopita, kipaumbele pekee cha mwanadamu kilikuwa kula na kujilinda dhidi ya hatari. Katika nyakati hizo chakula kilikuwa kikipatikana kwa kuwinda au kuchimba mizizi. Hivyo mtu aliamka asubuhi akiwa na kipaumbele kikuu ambacho ni kutafuta chakula. Na usiku aliporudi kulala, kipaumbele kilikuwa kujilinda dhidi ya wanyama (more…)

NENO LA LEO; Elekeza Uso Wako Hapa.

By | March 3, 2015

“Keep your face always toward the sunshine – and shadows will fall behind you.” —Walt Whitman Mara zote elekeza uso wako kwenye mwanga wa jua na kivuli kutaanguka nyuma yako. Angalia lile lililojema kwenye maisha yako na mabaya yataanguka nyuma. Usipoteze muda wako kuangalia mabaya, hakuna utakachofaidika nacho. Nakutakia siku (more…)

Je ni kweli unahitaji mkopo kwenye biashara yako?

By | March 2, 2015

Zamani kidogo, kabla taasisi za kifedha hazijawa nyingi hapa nchini, kupata mkopo ilikuwa ni kazi kubwa sana. Ulihitaji kuwa na sifa nyingi zinazokuwezesha kupata mkopo na hata ukiwa nazo bado ulihitaji kusubiri mlolongo mrefu ndio uweze kupata mkopo unaohitaji. Sasa hivi mambo yamebadilika sana, taasisi za kifedha zimekuwa nyingi sana (more…)

SIRI YA 37 YA MAFANIKIO; Imani Nakupa Nguvu Ya Kuchukua Hatua

By | March 2, 2015

Imani ndio hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio. Kuamini tu kitu kinawezekana ni jambonzuri sana. Baada ya kuamini unaweza kuanza kufanya kazi na kujua utawezaje kufikia lengo lako. Kutamani tu hakuna nguvu yoyote. Ile hali ya NITAWEZAJE KUFANYA inatokana na imani. Unapoamini unawakaribisha watu wengi wakusaidie kwa sababu wanaanza kuwa (more…)

SIRI YA 36 YA MAFANIKIO; Usitengeneze Sababu.

By | March 2, 2015

Watu waliofanikiwa hawatengenezi sababu. Wangeweza kufanya hivyo ila hawataki. Sababu ni kisingizio kinachomsaidia mtu kufia uso wake pale ambapo hazalishi kile alichotarajia kuzalisha. Hakuna mtu anayetaka kusikia sababu zako. Wanataka kujua ni kipi umejipanga kufanya ili kuzalisha kile unachotarajiwa kuzalisha.    “Excuses are a waste of time. Successful people don’t (more…)

UKURASA WA 61; Ni Muhimu Kufanya Tathmini.

By | March 2, 2015

Kuanzia mwaka huu 2015 umeanza tayari tumemaliza siku 60 na leo ni siku ya 61. Kama kuna mabadiliko yoyote uliyokuwa umepanga kufanya kwenye mwaka huu unahitaji mpaka sasa uwe umeshaanza kuona matunda mazuri. Kama mpaka sasa hakuna matunda yoyote mazuri unayoona kwenye mabadiliko yako, ni labda hufanyi kwa kiwango cha (more…)

NENO LA LEO; Faida Ya Kuwasha Taa Yako…

By | March 2, 2015

As we let our own light shine, we unconsciously give other people permission to do the same. -Marianne Williamson Jinsi unavyoacha mwanga wako ung’ae ndivyo unawapa ruhusa watu wengine nao kung’arisha mwanga wao. SOMA; Matatizo Yote Kwenye Maisha Yako Yanatokana Na Kitu Hiki. Unapokazana na kupata mafanikio, ndivyo unavyowapa wengine (more…)