SIKU YA 3; Jinsi Ya Kuondo Kabisa Hofu Ya Kushindwa.

By | September 3, 2014

Ili uweze kupata chochote unachotaka kwenye maisha yako ni lazima uweze kuishinda hofu ya kushindwa. Kupata furaha, mapenzi, mafanikio, utajiri, ushawishi, umaarufu na hata chochote unachotaka hatua ya kwanza ni kuishinda hofu ya kushindwa. Hatua ya kwanza ya kushinda hofu ya kushindwa ni kuelewa kwamba kushindwa ni kitu ambacho kinatokea (more…)

NILICHOJIFUNZA LEO; Vita Kubwa Kuwahi Kutokea Afrika Ukiacha Vita Vya Pili Vya Dunia.

By | September 2, 2014

Ukiacha vita vya pili vya dunia vita kubwa ambayo imewahi kutokea Afrika ni vita ya pili ya Congo(Second Congo War) Vita hii ilianza August 1998 na kutangazwa kumalizika July 2003 baada ya serikali ya mpito kushika madaraka. Pamoja na kutangazwa kumalizika kwa vita hii bado mapigano na choko choko zinaendelea (more…)

NILICHOJIFUNZA LEO; Vita Kubwa Kuwahi Kutokea Afrika Ukiacha Vita Vya Pili Vya Dunia.

By | September 2, 2014

Ukiacha vita vya pili vya dunia vita kubwa ambayo imewahi kutokea Afrika ni vita ya pili ya Congo(Second Congo War) Vita hii ilianza August 1998 na kutangazwa kumalizika July 2003 baada ya serikali ya mpito kushika madaraka.Pamoja na kutangazwa kumalizika kwa vita hii bado mapigano na choko choko zinaendelea katika (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Kujenga Tabia Ya NIDHAMU BINAFSI.

By | September 2, 2014

Mpenzi msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA karibu tena kwenye kipengele cha TABIA ZA MAFANIKIO. Katika kipengele hiki kila mwezi tunajadili tabia moja muhimu itakayotuwezesha kufikia mafanikio makubwa. Mwezi wa tano tulijadili tabia ya matumizi mazuri ya muda, mwezi wa sita tukajadili tabia ya kujisomea, mwezi wa saba na wa nane (more…)

Nilichojifunza Leo.

By | September 2, 2014

Nilichojifunza Leo ni kipengele kipya kitakachokuwa kinakujia mara kwa mara kupitia blog hii Makirita Amani. Ningependa kipengele hiki kiwe kinakujia kila siku ila siwezi kuahidi hilo kwa sasa. Kupitia kipengele hiki utajifunza mambo mengi kuhusiana na UONGOZI, SIASA, UCHUMI, MAENDELEO na hata HISTORIA za nchi yetu Tanzania, bara letu Afrika (more…)

Nilichojifunza Leo.

By | September 2, 2014

Nilichojifunza Leo ni kipengele kipya kitakachokuwa kinakujia mara kwa mara kupitia blog hii Makirita Amani. Ningependa kipengele hiki kiwe kinakujia kila siku ila siwezi kuahidi hilo kwa sasa.Kupitia kipengele hiki utajifunza mambo mengi kuhusiana na UONGOZI, SIASA, UCHUMI, MAENDELEO na hata HISTORIA za nchi yetu Tanzania, bara letu Afrika na (more…)

SIKU YA 2; Neno Moja Litakaloleta Maajabu Maishani Mwako.

By | September 2, 2014

Kuna neno moja ambalo linaweza kuleta maajabu makubwa sana kwenye maisha yako. Neno hili la maajabu ni siri ya kuwafanya wengine wafanye kile unachotaka. Neno hili la maajabu ni siri ya kupata chochote unachotaka. Neno hili la maajabu linafundishwa katika dini zote na linatumika katika kada zote za elimu, matibabu, (more…)

SIKU YA 1; Nguvu Ya Kujua Ni Nini Unataka Na Utakipataje.

By | September 1, 2014

Karibu sana kwenye SIKU 30 ZA MAFANIKIO MAKUBWA, katika siku hizi 30 utajifunza mambo yote muhimu unayohitaji kujua ili kuweza kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Kumbuka kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa kwenye jambo lolote unalofanya au unalotaka kufanya. Kikubwa ni wewe kujua misingi unayotakiwa kufuata na kisha kuifuata na (more…)

Hisia mbili zinazowaongoza binadamu na jinsi ya kuzitumia kwenye biashara na ujasiriamali.

By | September 1, 2014

Mafanikio kwenye ujasiriamali yanatokana na vitu vingi sana. Ni muhimu sana kujifunza mambo yote yatakayokuletea mafanikio ili uweze kufikia mafanikio makubwa kupitia ujasiriamali. Leo tutaona hisia mbili zinazowaongoza au kuwatawala binadamu na jinsi unavyoweza kuzitumia kufikia mafanikio makubwa sana. Wakati mwingine tutajifunza mambo mengine yatakayokuletea mafanikio makubwa. Hisia ya kwanza; (more…)

Sababu Mbili Kwa Nini Tanzania Ni Nchi Masikini.

By | August 31, 2014

Kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Pamoja na rasilimali nyingi tulizonazo, mlima mrefu, mbuga za wanyama, madini na hata ardhi kubwa kwa nini tunaendelea kuwa masikini? Hili ni swali gumu sana maana hata raisi wa nchi mheshimiwa Jakaya Kikwete alikiri kwamba hajui kwa nini nchi yetu ni masikini. Sasa leo (more…)