Sababu Mbili Kwa Nini Tanzania Ni Nchi Masikini.

By | August 31, 2014

Kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Pamoja na rasilimali nyingi tulizonazo, mlima mrefu, mbuga za wanyama, madini na hata ardhi kubwa kwa nini tunaendelea kuwa masikini?Hili ni swali gumu sana maana hata raisi wa nchi mheshimiwa Jakaya Kikwete alikiri kwamba hajui kwa nini nchi yetu ni masikini. Sasa leo nataka (more…)

RICH DAD; Kuepuka Mtego Wa Mbio Za Panya.

By | August 29, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika uchambuzi uliopita tuliona RICH DAD akiwaambia Mike na Robert kuhusu mbio (more…)

Siku 30 Za Mafanikio, Jua Mambo Yote Muhimu Unayotakiwa Kujua Ili Kufanikiwa.

By | August 29, 2014

Mafanikio ni msamiati mpana na una maana tofauti kwa watu tofauti. Pamoja na maana hizi tofauti bado inabaki kwamba mafanikio ni kitu ambacho kila mmoja wetu anakitafuta kwenye maisha. Iwe kufaulu masomo, iwe kupata kazi nzuri, iwe kupanda daraja kazini, iwe kukuza biashara, iwe kulea familia bora na hata iwe (more…)

RICH DAD; Jifunze Kuifanya Fedha Ikufanyie Wewe Kazi.

By | August 28, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika uchambuzi uliopita RICH DAD alimfundisha Robert somo la kwanza katika kuelekea (more…)

Njia 30 Za Kufikia Mafanikio Makubwa Sana(World Class)

By | August 27, 2014

Kila mmoja wetu anapenda kupata mafanikio kwenye maisha. Tunataka kubobea kwenye kile tunachofanya na pia tunataka kupata fedha nyingi kwa kile tunachofanya. Lakini sio watu wote ambao wanafikia mafanikio makubwa katika mambo wanayofanya. Ni wachache sana wameweza kufikia mafanikio ya ngazi za kimataifa yaani world class. Ni kitu gani kinawafanya (more…)

FEDHA; Usiifanyie Kazi Fedha, Wacha Fedha Ikufanyie Kazi Wewe.

By | August 26, 2014

Kwa miezi miwili, kila wiki tumekuwa tukipata makala moja ya kujifunza jinsi ya kujenga tabia nzuri kwenye matumizi ya fedha. Pia tumejifunza jinsi ya kujenga tabia ya kujiwekea akiba na muhimu zaidi tumejifunza jinsi ya kuwekeza fedha ili kupata thamani zaidi. Kama umefuatilia makala zote hizi kwa makini na kuanza (more…)

Mambo Matano Yanayowazuia Wajasiriamali Wengi Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | August 25, 2014

Unapokuwa mjasiriamali hakuna kiwango cha mwisho cha mafanikio unachoweza kufikia, hii ina maana kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa zaidi ya hayo uliyonayo sasa. Tofauti na mwajiriwa ambaye mshahara wake unajulikana na hata ka autaongezeka ni kidogo sana, mjasiriamali unapanga kipato chako mwenyewe na hivyo unaweza kukiongeza bila ya kuomba au (more…)

Mambo Matano Ambayo Viongozi Bora Hufanya Kila Siku.

By | August 24, 2014

Karibu tena ndugu msomaji kwenye mtandao huu ambao umejikita kwenye kukujenga wewe kuwa kiongozi bora. Kwa siku za hivi karibuni hakujakuwa na makala mpya hapa kutokana na mambo yaliyoingiliana kidogo. Hata hivyo napenda nikukaribishe tena katika shule hii ya uongozi na kila jumapili utaendelea kupata makala za mambo ya uongozi. (more…)

Mambo Matano Ambayo Viongozi Bora Hufanya Kila Siku.

By | August 24, 2014

Karibu tena ndugu msomaji kwenye mtandao huu ambao umejikita kwenye kukujenga wewe kuwa kiongozi bora. Kwa siku za hivi karibuni hakujakuwa na makala mpya hapa kutokana na mambo yaliyoingiliana kidogo. Hata hivyo napenda nikukaribishe tena katika shule hii ya uongozi na kila jumapili utaendelea kupata makala za mambo ya uongozi.Kama (more…)

RICH DAD; Somo la kwanza; MATAJIRI HAWAFANYII KAZI PESA.

By | August 22, 2014

Katika sehemu iliyopita ya uchambuzi tuliona jinsi ambavyo Robert na Mike walikubali kufanya kazi ili wafundishwe jinsi ya kuwa matajiri. Lakini pamoja na kufanya kazi kwa ujira kidogo bado hawakupata kile walichetegemea kupata. Na hii ilimfanya Robert kuamua kuacha kazi ile kwa sababu hakuona chochote alichojifunza. Hapa ndipo alipokutana na (more…)