#SheriaYaLeo (161/366); Wafanye watu wajisikie wako juu.
#SheriaYaLeo (161/366); Wafanye watu wajisikie wako juu. Watu wanapenda sifa na kutukuzwa, wanapenda kuona wapo juu na wengine wanawategemea kwa mambo mbalimbali. Pale unapotaka kitu kutoka kwa watu, hasa wale wenye mamlaka, wafanye wajione wako juu. Wafanye waone upo chini yao na unawategemea sana kwa kile unachotaka. Hilo linawafanya wajione (more…)
