Kozi 1100 Unazoweza Kujifunza Bure Kupitia Mtandao.

By | December 31, 2014
Mwaka 2015 ndio huu hapa, una nafasi kubwa ya kuanza kufanya mabadiliko makubwa kwenye maisha yako kuanzia leo. Ili uweze kubadili maisha yako, elimu ni muhimu sana. Ni muhimu sana kujifunza na kuongeza maarifa ili kuweza kuwa na utaalamu utakaokufanya ufanye kazi nzuri na ya kipekee itakayokuwezesha kuboresha maisha yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In