UKURASA WA 23; Pata Muda Wa Kupumzika…

By | January 23, 2015
Kijana mmoja alikwenda kwa mtu aliyefanikiwa kumuomba ushauri. Kijana; Naomba uniambie itanichukua muda gani kufikia mafanikio makubwa kwa hiki ninachofanya? Mshauri; Itakuchukua miaka kumi. Kijana; Nipo tayari kufanya kazi usiku na mchana, je itanichukua muda gani? Mshauri; Miaka ishirini. Ukweli ni kwamba katika safari yetu ya kufikia mafanikio tunaweza kufikiri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In