UKURASA WA 438; Nguvu Mbili Zinazokufanya Uendelee Kuwa Mtumwa.

By | March 13, 2016
Kila mmoja wetu ni mtumwa, yaani mimi, wewe na yule tu watumwa kwenye maeneo fulani ya maisha yetu. Kuna ambao ni watumwa wa fedha, wengine watumwa wa mapenzi, wengine watumwa wa dini. Pia kuna watumwa wa madaraka, watumwa wa ajira na hata watumwa wa biashara. Kinachotutofautisha ni aina ya utumwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In