UKURASA WA 472; Hupewi, Unachukua Mwenyewe…

By | April 16, 2016
Kutokuyaelewa vizuri maisha ni moja ya changamoto kubwa za kufikia mafanikio. Ni sawa na kukata tiketi ya ndege halafu unakwenda kusubiri kituo cha mabasi. Ni zoezi ambalo haliwezi kuzaa matunda unayotarajia. Kuna mambo mengi kwenye maisha ambayo tunayafanya kwa njia hiyo. Kuna kitu tunakitaka lakini hatutumii njia sahihi kukipata. Kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In