#SheriaYaLeo (233/366); Jinsi ya kuwakabili wasumbufu.

By | June 21, 2022
#SheriaYaLeo (233/366); Jinsi ya kuwakabili wasumbufu. Kwenye maisha utakutana na watu wasumbufu. Watu ambao kwa kuwa wana uwezo mkubwa kuliko wengine, huona kama hawahitaji kufuata taratibu wanazozifuata wengine. Watu hao hufanya tofauti na wanavyofanya wengine na wanapoulizwa huomba radhi na kuahidi kufanya kwa usahihi. Lakini bado wakati mwingine hawafanyi kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In