#SheriaYaLeo (263/366); Tumia wengine kukamilisha yasiyo mazuri.

By | July 21, 2022
#SheriaYaLeo (263/366); Tumia wengine kukamilisha yasiyo mazuri. Kama kuna mambo ambayo siyo mazuri yanapaswa kufanyika, hupaswi kuyafanya wewe mwenyewe, kwa sababu yataharibu sifa yako na kuwa kikwazo kwako. Badala yake unapaswa kuwatumia watu wengine kukamilisha mambo hayo. Kwa namna hiyo lawama zitaenda kwa watu hao wengine, huku wewe ukibaki na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz