#SheriaYaLeo (273/366); Kuwa tayari kubadilika.

By | July 31, 2022
#SheriaYaLeo (273/366); Kuwa tayari kubadilika. Kila kitu kwenye maisha huwa kinabadilika. Hivyo unapaswa kuchukulia kila kitu kwa kuendana na hali uliyonayo. Maji ndiyo kitu chenye nguvu zaidi duniani, kwa sababu huwa yapo tayari kubadilika. Maji huchukua nafasi kwenye chombo chochote ambacho yanawekwa. Hivyo kuwa tayari kubadilika kama maji ndiyo mkakati

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In