2426; Kusikia na kuona…
2426; Kusikia na kuona… Kama unachosikia kinatofautiana na unachoona, amini kile unachoona. Uongo huwa ni rahisi sana kusemwa, lakini ni mgumu kuonyeshwa. Kwenye kila aina ya uongo, huwa kuna ukweli unaoonekana wazi, lakini kwa sababu tunataka sana kusikia kile tunachotaka, tunaishia kudanganywa. Ni vigumu sana kudanganywa kama macho yako yatakuwa (more…)
