1425; Kama Unataka Kulipwa Zaidi…
Kila mtu anapenda kulipwa zaidi, lakini wengi hawapo tayari kuweka juhudi ili kulipwa zaidi. Wengi huishia tu kwenye malalamiko kwamba wanapaswa kulipwa zaidi. Lakini kwa kuwa malalamiko huwa hayana msaada, wanaishia kulipwa kidogo. Popote ulipo, iwe umeajiriwa, umejiajiri au unafanya biashara, unapotaka kulipwa zaidi, kuna vitu vitatua ambavyo unapaswa kuvifanya, (more…)
