1430; Mbadala Wa Bei Rahisi…
Wafanyabiashara wavivu, wale wasiotaka kuweka kazi kwenye biashara zao lakini wanaotaka kupata wateja wengi na mafanikio makubwa, huwa wana njia waliyozoea kutumia. Njia hiyo ni kuwa na bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine. Kushusha zaidi bei ili kuwavutia wateja kununua kwao. Njia hii huwa inaweza kuleta matokeo mazuri ndani ya muda (more…)
