1370: Usiingie Kwenye Mchezo Huu Ambao Tayari Umeshashindwa Kabla Hata Hujaanza.
Rafiki, Kama wote tunakubaliana kwamba maisha ni mchezo, basi kuna kitu muhimu sana tunachopaswa kujikumbusha kila mara kwenye huu mchezo. Kitu hicho ni jinsi ya kushinda kwenye huu mchezo, kwa sababu bila ya kujua njia sahihi za kushinda, utakuwa umeshindwa kabla hata hujaanza. Kwa mfano kama utaishi maisha yako kwa (more…)
