Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA SIKU MUHIMU KAMA LEO.

By | May 15, 2018

“Nothing is worth more than this day.” —JOHANN WOLFGANG VON GOETHE Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA na (more…)

UKURASA WA 1230; Siyo Kwamba Maisha Yatafika Ukingoni…

By | May 14, 2018

Ukingo wa maisha ya kila mmoja wetu ni kifo, ambacho kitatokea kwa wakati ambao hata hatuujui, na huenda hatutajua kama ndiyo ukingo. Lakini mambo mengi tunayosumbuka nayo kwenye maisha, yale tunayofikiri kwamba maisha yetu hayataenda kama tutakosa mambo au vitu hivyo. Unafikiri maisha yako yatafika ukingoni kwa sababu hujavaa nguo (more…)

UKURASA WA 1229; Jinsi Ya Kutumia Nguvu Binafsi Kama Kipimo Cha Kipaumbele…

By | May 13, 2018

Una simu ambayo ina chaji asilimia 10, umeme umekatika siku nzima, halafu kuna simu ya muhimu sana unaisubiri, je unatumiaje ile asilimia kumi ya chaji iliyobaki? Je utaanza kusikiliza miziki au kuangalie video ulizonazo kwenye simu hiyo? Je utaingia kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuperuzi, uone wengine wanafanya nini? (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USISAHAU KUJIPENDA…

By | May 13, 2018

“Don’t forget to love yourself.” -Soren Kierkegaard Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda (more…)

UKURASA WA 1228; Tabia Ya Kujificha…

By | May 12, 2018

Mafanikio yanakuja na hatari moja, kuwa kioo cha wengi, kuonekana na kila mtu na kuhukumiwa na hata wasiokujua vizuri. Kadiri unavyofanikiwa ndivyo watu wengi zaidi wanajua kuhusu wewe, na ndivyo wengi watakavyohiji, kukupinga na hata kuhukumu chochote unachofanya. Hali hii imekuwa inapelekea wengi kupenda kujificha, na sehemu nzuri ya kujificha (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIKUBALI KUVUTWA KILA UPANDE…

By | May 12, 2018

Do external things distract you? Then make time for yourself to learn something worthwhile; stop letting yourself be pulled in all directions. —Marcus Aurelius. Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora (more…)

UKURASA WA 1227; Kama Hufanyi, Unafanya Vibaya…

By | May 11, 2018

Kuna vitu ambavyo kila mtu anapaswa kufanya, lakini wengi hawajui kama wanapaswa kufanya, na wanaweza kujiambia kwamba hawafanyi. Wasichojua ni kwamba, chochote ambacho unapaswa kufanya halafu hufanyi, siyo kwamba hufanyi kweli, bali unafanya vibaya. Kwa mfano kila mtu anauza, na kila kitu kwenye maisha kinahusisha kuuza. Wale wanaojitambua kama wauzaji (more…)

UKURASA WA 1226; Kuyaelewa Maisha Na Kuyaishi Maisha…

By | May 10, 2018

Tunaweza kuyaelewa maisha kwa kuangalia nyuma, ni kwa kuangalia yale yaliyotokea ndiyo tunaweza kuelewa kwa nini yalitokea na matokeo yake yalikuwaje. Lakini hatuwezi kuyaishi maisha yetu kwa kuangalia nyuma, bali tunaishi maisha kwa kuangalia mbele. Hivyo tunayaishi maisha yetu kwa kuangalia mbele. Changamoto ya kuangalia mbele ni moja, hatuna uhakika (more…)

UKURASA WA 1225; Kipaumbele Cha Kwanza Kwenye Maisha Yako…

By | May 9, 2018

Kinapaswa kuwa wewe, kinapaswa kujifanya kuwa bora kila siku unayoanza kuliko ulivyokuwa siku iliyopita. Kinapaswa kujifunza vitu vipya. Kinapaswa kuwa mbunifu zaidi kuliko siku zilizopita. Cha kwanza unachofikiria kufanya pale unapoamka, pale unapopata muda wa bure ambao huna cha kufanya, hicho ndiyo umekipa kipaumbele kwenye maisha yako. Sasa hebu chukua (more…)