UKURASA WA 1022; Acha Kujiua Kwa Kiu Huku Umezungukwa Na Maji Safi Na Salama…
Umeshawahi kusikia mtu anakufa kwa kiu huku akiwa amezungukwa na ziwa lenye maji masafi kabisa ya kunywa? Unaweza kushangaa na kusema mtu anawezaje kukubali afe kwa kiu wakati maji yamemzunguka. Lakini hii ndiyo hali ambayo tunaiishi kwenye dunia ya sasa. Tunaishi kwenye zama za taarifa, zama ambazo kuna taarifa nyingi (more…)
