UKURASA WA 985; Njia Pekee Ya Kwenda Salama Hapa Duniani…
Maisha ya mafanikio yana changamoto nyingi, changamoto za ndani ya mtu mwenyewe na changamoto za nje. Changamoto za nje ni kama kukosolewa, kupingwa, kusemwa vibaya na hata kudhulumiwa na wengine. Unapoanza kuweka juhudi ili kutoka hapo ulipo, utawavuruga wengi na hawatafurahia hilo. Hivyo watafanya kila jitihada kuhakikisha unabaki pale ulipo (more…)
