Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 988; Kabla Hujazama, Elewa Misingi…

By | September 14, 2017

Hakuna watu hatari kama waliozama na kubobea kwenye jambo lolote kabla hawajaielewa misingi. Kwa sababu uzamivu wao, hugeuka kuwa hatari kwao na kwa wengine kuliko unavyokuwa faida, hata kama ni kwa jambo zuri. Chukua mfano wa fedha, kila mtu anapenda fedha, kila mtu anakazana kupata fedha, lakini mtu anapozama kutafuta (more…)

#TAFAKARI YA LEO; THAMANI IPO KWENYE KUPOTEZA…

By | September 13, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo, nafasi bora sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. Asubuhi (more…)

#KURASA_KUMI; Tiba ya akili ipo ndani yako.

By | September 13, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems. Kurasa 1 – 20. Tiba ya akili ipo ndani yako. Kitu ambacho sayansi inadhibitisha zama hizi, wanafalsafa walishakijua zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Hii ni kuhusu uwezo wa mtu kutibu akili yake (more…)

BIASHARA LEO; Hebu Tukumbushane Tena Kwa Nini Unapaswa Kuwa Na Biashara…

By | September 13, 2017

Nimekua nakuambia hili mara kwa mara, na leo nakukumbusha tena kwamba siyo lazima kila mtu ajiajiri na kuwa na biashara. Lakini kila mtu anapaswa kuwa na mifereji mingi ya kipato, hasa kwa walioajiriwa. Kutegemea mshahara pekee kama njia kuu ya kipato, ni hatari mno, kama ambavyo kila mtu amekuwa anaona (more…)

UKURASA WA 987; Ni Kazi Isiyo Ya Kawaida…

By | September 13, 2017

Kuwa mzazi ni jambo la kawaida, kuwa mzazi bora ni kazi. Kuwa kwenye biashara ni kawaida, kuwa kwenye biashara yenye mafanikio makubwa ni kazi. Kuwa na shughuli inayokuingizia kipato ni jambo la kawaida, kuwa kwenye shughuli yenye maana kwako, inayokupa kipato ambacho unaweza kukisimamia vizuri ni kazi. Kuwa mume/mke ni (more…)

BIASHARA LEO; Siyo Lazima Kila Wakati Uuze…

By | September 12, 2017

Wapo wafanyabiashara ambao wana mtazamo kwamba kila wakati lazima wauze. Hivyo anapokuwa mteja ambaye anauhitaji wa kitu ambacho wao hawana, huhakikisha wanampatia kitu kingine ili tu asiondoke bila ya kununua. Hii ni mbinu nzuri ya kuwasaidia wateja hasa kama kile unachowapa kitawasaidia kweli. Lakini kama hakitawasaidia, na wewe utakuwa umesukumwa (more…)

UKURASA WA 986; Njia Ya Akili Kutafuta Urahisi Wa Maisha…

By | September 12, 2017

Kuna mambo mengi mno yanayoendelea kwenye mazingira yanayokuzunguka, kiasi kwamba kama akili yako ingekuwa inayachakata yote na kukuletea kila kitu kwenye mawazo, ungeweza hata kuchanganyikiwa. Hii ni kwa sababu mambo ni mengi mno, hivyo akili zetu zimejifunza kuyapokea mengi na kuyafanyia kazi bila ya uelewa wetu wa moja kwa moja. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UHALISIA VS MATARAJIO…

By | September 11, 2017

Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni siku mpya ya wiki mpya ambapo tumepata fursa nyingine nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA, tufanyie kazi msingi huu (more…)

BIASHARA LEO; Usiogope Kuwasumbua Wateja…

By | September 11, 2017

Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanatumia sababu za ajabu sana kuendesha biashara zao kwa uzembe. Moja ya sababu hizo ni kuogopa kuwasumbua wateja. Wapo wafanyabiashara ambao wamekuwa wanapoteza wateja kwenye biashara zao, kwa sababu wanaogopa kuwasumbua. Labda ni kumkumbusha mteja kuja tena kwenye biashara, wengi huona wakifanya hivyo mteja ataona ni kama (more…)