Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

#TAFAKARI YA LEO; THAMANI IPO KWENYE KUPOTEZA…

By | August 13, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo, nafasi bora sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. Asubuhi (more…)

UKURASA WA 956; Usijioneshe, Bali Onekana…

By | August 13, 2017

Mtu mmoja amewahi kunukuliwa akisema watu huingia kwenye matatizo pale wanapotumia fedha ambazo hawana, kununua vitu ambavyo hawavihitaji ili kuwaridhisha watu ambao hawajali. Umeliona mara ngapi hilo? Labda kama hujaelewa vizuri hapo kwenye huo usemi, ni kwamba watu wengi wamekuwa wanakopa vitu ili kujionesha kwa wengine kwamba na wao wana (more…)

💥#TAFAKARI YA LEO; HAPO ULIPO SASA…

By | August 12, 2017

MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa sana siku ya leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu HAPO ULIPO (more…)

UKURASA WA 955; Zawadi Kubwa Unayoweza Kumpa Mtu Kwenye Zama Hizi…

By | August 12, 2017

Tunaishi kwenye kipindi ambacho changamoto zipo nyingi na zinazidi kuwa nyingi kadiri siku zinavyokwenda. Usumbufu ni mwingi na kelele ni nyingi kiasi kwamba kila mtu anakuwa kama amevurugwa, asijue afanye lipi na aache lipi. Au amsikilize nani na kumpuuza nani. Hili limepelekea zawadi kubwa sana ambayo unaweza kumpa mtu zama (more…)

💥#TAFAKARI YA LEO; KAZANA KUIVUKA SIKU YA TATU…

By | August 11, 2017

MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUIVUKA SIKU YA (more…)

UKURASA WA 954; Ubobezi Huu Hautakusaidia Lolote….

By | August 11, 2017

Huwa nashangaa jinsi gani watu wanajua namna gani wengine wanapaswa kuendesha maisha yao, lakini hawana hata chembe ya wazo la namna gani maisha yao yanapaswa kwenda. Karibu kila mtu ni mbobezi kwenye maisha ya wengine, kwa sababu tumekuza na kuishi kwenye jamii ambazo zinataka kila mtu awe sawa na wengine. (more…)

UKURASA WA 953; Unachokichukia, Unakipa Nguvu Ya Kuendelea Kukusumbua…

By | August 10, 2017

Moja ya kitu kinachowarudisha watu wengi nyuma ni chuki. Chuki kwa watu au vitu ni jambo linalowarudisha wengi  nyuma kwa sababu ukikichukia kitu unakuwa umefungwa nacho. Kwa mfano tuseme unamchukia mtu fulani ambaye alikufanyia mambo mabaya, hii ina maana kwamba, ili chuki yako ifanye kazi, lazima kila wakati uwe unamkumbuka (more…)

💥#TAFAKARI YA LEO; LEO KAMA JANA…

By | August 9, 2017

MAKIRITA AMANI: Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine nzuri kwetu, nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambao utatuwezesha kuwa na maisha bora na yenye mafanikio. Asubuhi ya leo tutafakari LEO KAMA (more…)