UKURASA WA 952; Jifunze Kwa Wengine, Lakini Usiige Maisha Yao…
Njia bora kabisa ya kujifunza kuhusu mafanikio, ni kupitia wale ambao wameshafanikiwa. Kabla hujaanza safari yoyote, ni vyema ukaangalia nani ambaye amefanikiwa kwenye safari hiyo na kujifunza mambo muhimu kutoka kwake. Kupitia yeye utajua njia ipi nzuri kufuata na makosa yapi ya kuepuka kwenye safari hiyo. Kupitia wale waliofanikiwa, utaweza (more…)
