UKURASA WA 947; unapopata shida ya kuamka asubuhi, jikumbushe hili…
Usingizi ni mtamu, lakini pia usingizi huwa hauishi, upo kila siku. Kuna wakati muda wa kuamka unakuwa umefika lakini hujisikii kabisa kuamka. Labda umeweka kengele ya kukuamsha, kengele hiyo inapiga lakini unajiambia unalala dakika tano tu utaamka. Unakuja kuamka nusu saa au hata saa nzima baadaye na kuwa umechelewa kuanza (more…)
