Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

💥 #TAFAKARI YA LEO; WHATEVER IT TAKES…

By | February 3, 2017

bari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Ni imani yangu kwamba umeianza siku ya leo kwa hamasa kubwa. Tayari unajua nini unataka kwenye siku yako ya leo na umeshajipanga kupata kile unachotaka. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA utaweza kufanya mambo makubwa siku ya leo. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu (more…)

UKURASA WA 765; Weka Macho Yako Fedha Zako Zilipo…

By | February 3, 2017

Chunga sana fedha zako, hili ni hitaji muhimu kama unataka kufanikiwa kifedha. Hakikisha macho yako yapo pale fedha zako zilipo, kwa sababu kama wewe hutakuwa makini na fedha zako, basi jua hakuna anayeweza kuwa makini na fedha hizo. Wapo watu wengi ambao wanaweka fedha zao kwenye biashara, lakini wanashindwa kusimamia (more…)

KITABU; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

By | February 3, 2017

Habari za leo rafiki yangu? Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wamekuwa wanasema inawazuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni muda. Watu wana mipango mikubwa na mizuri sana, lakini wanakosa muda wa kutekeleza mipango yao hiyo mizuri. Watu wanapanga kuanza biashara zao ili kuweza kujitengenezea uhuru wa kifedha, (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; FANYA KILA SIKU…

By | February 2, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUFANYA KILA SIKU…. Kama kuna kitu muhimu sana kwenye maisha yako, Kama kuna (more…)

UKURASA WA 764; Samaki Huanza Kuozea Kichwani…

By | February 2, 2017

Popote tunapokutana na changamoto, huwa tunaanza kuangalia nani wa kumlaumu. Na tukishaanza kutafuta wa kulaumu, huwa hatumkosi, kwa sababu ni rahisi kupata watu wa kuwalaumu. Lakini mara nyingi, chanzo cha changamoto kipo wazi. Kama changamoto ni kwenye maisha yako binafsi, basi wewe ndiye unayezisababisha, na siyo mtu mwingine yeyote. Wewe (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; WAO WAMEFANYA NINI?

By | February 1, 2017

Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Nguzo zetu kuu zikiwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu wao wamefanya nini? Kila tunapopanga kufanya mambo makubwa, wapo watu wanaojitolea kutushauri (more…)

UKURASA WA 763; Hakikisha Watu Wanafanya Kile Wanachopaswa Kufanya….

By | February 1, 2017

Kama wapo watu wanaofanya kazi chini yako, labda kwenye ajira una watu ambao wewe unawasimamia, au kwenye kazi shughuli zako umeajiri watu ambao wanakusaidia, basi moja ya majukumu yako ni kuhakikisha watu wanafanya kile wanachopaswa kufanya. Unahitaji kujua kwa karibu na hata kuwakumbusha kuhusu majukumu yao, kuona maendeleo yao na (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; USIWE TAKWIMU….

By | January 31, 2017

Asubuhi njema rafiki, Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo ambapo tunapata nafasi nyingine ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tunafanya. Tutumie nafasi ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu takwimu. Zipo takwimu nyingi mno kwenye maisha ya kawaida. Mfano wa (more…)

UKURASA WA 762; Hadithi, Mchezo, Ushindi…

By | January 31, 2017

Maneno matatu yanayoweza kubeba mafanikio yako yote kwenye kazi, biashara na maisha kwa ujumla. Unaanza na hadithi, hii ni ile ndoto yako kubwa ya maisha, ni yale maono unayoyapata ya namna unataka maisha yako yawe. Nimewahi kukuambia tena ya kwamba maisha ni hadithi, hivyo ni uamuzi wako unataka kuishi hadithi (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; BADILI KITU LEO…

By | January 30, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA kwenye kila tunachofanya kwenye maisha yetu, ili kuweza kupata matokeo bora. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu kufanya mabadiliko madogo leo. Kama ambavyo tunajua, mafanikio kwenye maisha hayatokei kama ajali, kwamba (more…)