UKURASA WA 751; Watu Wenye Ushawishi Mkubwa Kwako Ni Hawa…
Kuna usemi maarufu sana ya kwamba wewe ni wastani wa wale watu watano unaokuwa nao kwa muda mwingi, wale watu watano wanaokuzunguka ndiyo wenye ushawishi mkubwa sana kwako. Kama utazungukwa na wezi watano, basi moja kwa moja na wewe utakuwa mwizi. Kama utazungukwa na wavivu watano, wewe utakuwa mvivu wa (more…)
