Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 657; Siyo Kwamba Dunia Haina Huruma, Dunia Haina Muda Na Wewe.

By | October 18, 2016

Kuna mwanamuziki amewahi kuimba kwamba dunia haina huruma. Naweza kukubaliana naye kwa upande mmoja, na nisikubaliane naye kwa upande mwingine. Nitakubaliana naye kwamba dunia haina huruma, kama tutaiangalia dunia kwa upande wetu sisi. Kwa sababu tunapenda kujiona kwamba dunia ina wajibu kwetu. Kwamba dunia inapaswa kufanya kile ambacho sisi tunataka (more…)

UKURASA WA 656; Dalili Za Maisha Ambazo Pia Ni Dalili Za Mafanikio…

By | October 17, 2016

Rafiki, chukua jiwe, liweke ndani na acha muda uende, jiwe litaendelea kuwa pale pale. Lipe jiwe hilo chochote unachoweka kulipa, maji, chakula, mbolea na vingine vingi, bado jiwe litabaki kuwa vile vile. Lakini chukua mti na uweke ndani kisha upe yale muhimu, mti huo utakua na muda siyo mrefu utakuwa (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Unawezaje Kuwa Mtu Mzuri?

By | October 16, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vizuri na juhudi zako za kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi. Naamini unaendelea kufanyia kazi falsafa yako ya maisha, ili uweze kuona maana ya maisha yako kwako na kwa wengine pia. Hii ni hatua muhimu sana kwa ukuaji na mafanikio (more…)

UKURASA WA 655; Aina Mbili Za Biashara Ambazo Kila Mtu Anafanya…

By | October 16, 2016

Kila mtu kuna biashara ambayo anaifanya kwenye maisha yako. Iwe umeajiriwa au umejiajiri, kuna thamani ambayo unaitoa kwa wengine na wao kukulipa kwa thamani hii. Kila mmoja wetu kuna kitu anachouza kwa wengine ili kupata kipato. Kuna ambao wanauza muda wao, wengine wanauza utaalamu wao. Wapo wanaouza nguvu zao, wengine (more…)

Taarifa muhimu kuhusu KISIMA CHA MAARIFA.

By | October 15, 2016

Habari rafiki? Naomba nichukue nafasi hii kukupa taarifa muhimu kuhusu KISIMA CHA MAARIFA kwa wale ambao tayari ni wanachama na ambao siyo wanachama. Kulikuwa na tatizo la kuingia kwenye KISIMA CHA MAARIFA ambapo baadhi ya wanachama walishindwa kuingia na kusoma makala kama ilivyo kawaida. Tatizo hili lilitokana na mfumo wetu (more…)

UKURASA WA 654; Kupiga Kelele Zaidi Ya Wengine….

By | October 15, 2016

Tunaishi kwenye dunia ambayo ina kelele nyingi na za kila aina. Kila ambacho unakifanya kuna watu wengi ambao wanafanya pia. Kama unafanya biashara, kuna wengi wanaofanya biashara kama yako. Kama umeajiriwa kuwa wengi wanaofanya kazi kama unayofanya wewe. Kama unaandika kuna wengi wanaoandika kama wewe. Kama unaimba wapo wengi wanaoimba (more…)

UKURASA WA 652; Kufanya Machache Au Kufanya Mengi…

By | October 13, 2016

Maisha ni kuchagua, upo hapo ulipo leo kutokana na mambo uliyochagua siku za nyuma. Na mambo utakayochagua leo, yataathiri maisha yako ya siku zijazo. Moja ya mambo tunayochagua kila siku ni kile tunachofanya kwenye maisha yetu. Kile ambacho tunaweka ujuzi, muda na nguvu zetu, iwe ni kwenye kazi, biashara na (more…)

UKURASA WA 651; Kile Unachoweza Kufanya Sasa…

By | October 12, 2016

Kila mmoja wetu kuna wakati ambao anapitia mambo magumu kwenye maisha yake. Wakati ambao unakutana na changamoto na kuona hakuna tena njia nyingine ya kwenda. Nyakati kama hizi ni ngumu sana na haijalishi wewe ni nani, zinaumiza. Tunapokuwa kwenye nyakati kama hizi, ni rahisi sana kukata tamaa, kwa sababu kwa (more…)

UKURASA WA 650; Ndiyo, Unahitaji Kujitesa.

By | October 11, 2016

Kuna falsafa muhimu sana ya maisha ambayo ipo nyuma ya kujitesa. Ni falsafa ambayo inatujengea ukakamavu wa kuweza kuendana na hali yoyote tunayokutana nayo kwenye maisha. Pia inatufanya tuweze kushukuru kwa kila tunachopata kwenye maisha yetu. Kujitesa ni nini? Kujitesa, japo siyo neno sahihi, ni pale ambapo unachagua kukosa kitu (more…)