UKURASA WA 599; Wingi Na Ubora…
Wingi na ubora ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja, lakini kimoja ni muhimu zaidi ya kingine, kwenye maeneo mengi ya maisha yetu. Kwenye wingi tunaangalia kile kiasi halisi cha kitu wakati kwenye ubora tunaangalia sifa halisi au aina ya kitu hicho. Je ni kipi kinahitaji kuanza, wingi au ubora? Tuangalie kwenye (more…)
