UKURASA WA 590; Uwezekano Upo…
Katika kitu chochote unachochagua kufanya kwenye maisha yako, upo uwezekano wa kushindwa. Hata kama utajiandaa kiasi gani, bado uwezekano wa kushindwa upo. Jambo hili ndiyo limekuwa linawazuia wengi kushindwa kuchukua hatua, kwa sababu ya uwezekano wa kushindwa au kufanya vibaya. Wengi hutaka kusubiri mpaka pale wanapokuwa na uhakika kwamba hakuna (more…)
