UKURASA WA 607; Tatizo La Kudumu…
Matatizo ni sehemu ya maisha yetu, changamoto na vikwazo havikosekani kwenye safari yetu ya kuwa na maisha bora na yenye mafanikio. Hili tunalijua, lakini siyo rahisi pale ambapo matatizo yako upande wako. Unapokuwa kwenye matatizo, kila unachojua kinahama na unabaki kufikiria kuhusu matatizo uliyonayo. Na hapa ndipo tunapofanya makosa makubwa (more…)
