UKURASA WA 444; Dawa Ya Upweke…
Watu wengi wamekuwa wakifikiri kwamba upweke ni kuwa wao peke yao. Na hivyo ili kuondokana na upweke wamekuwa wakikazana kuhakikisha wanazungukwa na watu wengi. Licha ya kuzungukwa na watu hao wengi bado upweke walionao hauishi. Bado wanajiona wapweke licha ya kuwa kwenye kundi kubwa la watu. Badala ya kutatua tatizo (more…)
