Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 200; Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha.

By | July 19, 2015

Umekuwa unatabiri mambo mengi sana kuhusu maisha yako, lakini je ni mambo mangapi uliyotabiri yametokea? Ni mambo mangapi ambayo ulikuwa unayahofia, yanakunyima usingizi yametokea kweli? Nafikiri ni machache sana, kama hata yapo. Ukweli ni kwamba wewe sio mtabiri mzuri, na wala hutakuwa mtabiri mzuri kadiri siku zinavyokwenda. Umekuwa ukijitabiria kwamba (more…)

Uchambuzi wa kitabu The Investment Answer.

By | July 18, 2015

Kitabu hiki kinakupatia jibu la uwekezaji. Na hapa nimekuchambulia mambo 20 muhimu kutoka kwenye kitabu hiki. Yafanyie kazi na pia kisome kitabu hiki na vingine vya uwekezaji ili uweze kufnikiwa kupitia uwekezaji. Mambo 20 niliyojifunza kwenye kitabu INVESTMENT ANSWER… 1. Uwekezaji ni sehemu muhimu sana kwenye kipato cha kila mmoja (more…)

UKURASA WA 199; Hakika Ukifa Masikini Umejitakia Mwenyewe.

By | July 18, 2015

Katika ulimwengu tunaoishi sasa, kama utashindwa kufikia mafanikio unayotaka kwenye maisha yako basi umeamua wewe mwenyewe. Kuna kauli moja maarufu ambayo imewahi kusemwa na tajiri namba moja duniani ndugu Bill Gates, alisema kwamba kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa masikini ni kosa lako. Nakubaliana naye kwa asilimia mia moja. (more…)

Pole Sana Kwa Usumbufu Mkubwa Uliopata

By | July 18, 2015

Habari za leo mpenzi msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA. Naamini kwmaba unaendelea vizuri na unaendelea kujifunza na kuhamasika na pia kuchukua hatua ya kuboresha maisha yako. Hili ndio lengo kuu la mitandao hii kuhakikisha maisha yako ya leo ni bora kuliko yalivyokuwa jana. Kama nilivyosema kwenye tangazo la awali, kumekuwa (more…)

UKURASA WA 198; Tuko Upande Mmoja.

By | July 17, 2015

Katika shule moja kulikuwa na kundi la wanafunzi watukutu ambao walikuwa wakionea wanafunzi wenzao. Wanafunzi hao walikuwa wakikuta mwanafunzi mwingine wanamlazimisha achague wa kupigana naye na akikataa wanampiga wote. Siku moja kundi hili walikutana na mwanafunzi mmoja aliyeonekana kuwa mnyonge sana. Wakamwambia achague wa kupigana naye. Yule mwanafunzi akachora mstari (more…)

Tangazo muhimu kuhusiana na blog zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS.

By | July 17, 2015

Habari za leo mpenzi msomaji wa blog mbalimbali zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako. Na pia naamini TUPO PAMOJA ukiendelea kujifunza na kuhamasika kupitia makala mbalimbali zinazopatikana kwenye blog zako zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Kama unavyojua lengo kubwa la AMKA CONSULTANTS ni (more…)